Wanyala
Mandhari
Wanyala ni kati ya koo kubwa za Waluhya (Abaluhya) katika magharibi ya Kenya na mashariki-kusini ya Uganda kwenye mitelemko ya mlima Elgon. Eneo lao katika Kenya ni hasa kaunti ya Busia.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wanyala kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |