Nenda kwa yaliyomo

Waakiek

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Waakiek ni kabila dogo la watu wanaoishi katika mkoa wa Arusha,Tanzania kaskazini, na pia Kenya, wakihesabiwa kuwa 3,700 tu.[1]

Kati yao wazee wachache tu wanatumia lugha yao, Kiakiek.[2] Wengi wanatumia Kimasai au Kikuyu.[1]

Wametokana na Waogiek.

  1. 1.0 1.1 Lawrence, David (2009). Tanzania And Its People. CreateSpace. uk. 97. ISBN 1-4414-8692-5. {{cite book}}: Cite has empty unknown parameter: |coauthors= (help)
  2. UNESCO
Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waakiek kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.