Saskatchewan
Mandhari
Saskatchewan | |||
| |||
Nchi | Kanada | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Regina | ||
Eneo | |||
- Jumla | 651,900 km² | ||
Tovuti: http://www.sk.ca/ |
Saskatchewan ni jimbo la Kanada. Limepakana na Northwest Territories, Nunavut, Manitoba, Montana, North Dakota na Alberta.
Lina eneo la km² 651,900.
Kunako mwaka wa 2009, idadi ya wakazi ilikuwa 1,023,810.
Mji mkuu ni Regina na mji mkubwa ni Saskatoon.
Saskatchewan ni hasa jimbo la kilimo cha ngano pamoja na mafuta ya petroli.
Lugha rasmi ni Kiingereza.
Miji Mikubwa
[hariri | hariri chanzo]- Saskatoon (202,340)
- Regina (179,246)
- Prince Albert (34,138)
- Moose Jaw (32,132)
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Province (jimbo) of Saskatchewan Official Website Archived 24 Februari 2011 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Saskatchewan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |