Qatar Airways
Mandhari
| ||||
Kimeanzishwa | 22.11.1993 | |||
---|---|---|---|---|
Ilianza huduma | 20.01.1994 | |||
Programu kwa wateja wa mara kwa mara | Qatar Airways Privilege Club | |||
Muungano | Oneworld | |||
Ndege zake | 234 | |||
Shabaha | 173 | |||
Makao makuu | Qatar Airways Towers, Doha, Qatar | |||
Tovuti | https://qatarairways.com |
Qatar Airways Company Q.C.S.C. ni shirika la ndege la kimataifa linalotoa huduma za usafiri wa anga duniani. Ndiyo shirika kuu la nchi ya Qatar, Uarabuni, ikiwa na makao yake mjini Doha. Ni moja kati ya ndege sita zilizotuzwa nyota tano na Skytrax, zikiwemo Kingfisher Airlines, Cathay Pacific, Asiana Airlines na Singapore Airlines.[1]Wengi hupenda kutumia shirika hili kwa huduma za usafiri.
Miji inayosafiria
[hariri | hariri chanzo]- Algeria
- Algiers - Houari Boumedienne Airport
- Egypt
- Alexandria - Alexandria International Airport
- Cairo - Cairo International Airport
- Luxor - Luxor International Airport
- Libya
- Tripoli - Tripoli International Airport
- Morocco
- Casablanca - Mohammed V International Airport
- Sudan
- Khartoum - Khartoum International Airport
- Tunisia
- Tunis - Tunis-Carthage International Airport
- South Africa
- Cape Town - Cape Town International Airport
- Johannesburg - OR Tambo International Airport
- Kenya
- Nairobi - Jomo Kenyatta International Airport
- Seychelles
- Mahé - Seychelles International Airport
- Tanzania
- Dar es Salaam - Mwalimu J.K. Nyerere International Airport
- People's Republic of China
- Japan
- South Korea
- Seoul - Incheon International Airport
- Bangladesh
- Dhaka - Zia International Airport
- India
- Ahmedabad - [Sardar Vallabhbhai Patel International Airport
- Amritsar - Raja Sansi International Airport
- Bangalore - Bangalore International Airport Cargo only [passenger fights begin 22 Februari] [2]
- Chennai - Chennai International Airport
- Delhi - Indira Gandhi International Airport
- Goa - Dabolim Airport
- Hyderabad - Rajiv Gandhi International Airport
- Kochi - Cochin International Airport
- Kozhikode - Calicut International Airport
- Mumbai - Chhatrapati Shivaji International Airport
- Thiruvananthapuram - Trivandrum International Airport
- Maldives
- Malé - Male International Airport
- Nepal
- Kathmandu - Tribhuvan International Airport
- Pakistan
- Sri Lanka
- Colombo - Bandaranaike International Airport
- Indonesia
- Malaysia
- Kuala Lumpur - [Kuala Lumpur International Airport
- Philippines
- Singapore
- Singapore Changi Airport
- Thailand
- Bangkok - Suvarnabhumi Airport
- Vietnam
- Ho Chi Minh City - Tan Son Nhat International Airport
- Bahrain
- Bahrain International Airport
- Iran
- Jordan
- Amman - Queen Alia International Airport
- Kuwait
- Kuwait International Airport
- Lebanon
- Beirut - Beirut Rafic Hariri International Airport
- Oman
- Muskat - Muscat International Airport
- Qatar
- Doha - Doha International Airport Hub
- Saudi Arabia
- Syria
- Damascus - Damascus International Airport
- United Arab Emirates
- Yemen
- Sana'a - Sana'a International Airport
- Austria
- Vienna - Vienna International Airport
- Denmark
- Copenhagen - Copenhagen Airport [begins 31 march][3]
- Ufaransa
- Paris - Charles de Gaulle Airport
- Ujerumani
- Greece
- Athens - Athens International Airport
- Italy
- Netherlands
- Amsterdam - Amsterdam Airport Schiphol - Cargo only [resumes Aprili]
- Russia
- Moscow - Domodedovo International Airport
- Spain
- Madrid - Barajas Airport
- Switzerland
- Sweden
- Stockholm - [Stockholm-Arlanda Airport
- Turkey
- Ufalme wa Muungano
- London
- London Gatwick Airport
- London Heathrow Airport
- Manchester - Manchester Airport
- London
- United States
- Houston - George Bush Intercontinental Airport
- New York City - John F. Kennedy International Airport
- Washington, D.C. - Washington Dulles International Airport
Ndege zake
[hariri | hariri chanzo]Ndege za Qatar Airways ni:
Ndege | Jumla | Zilizowekwa oda | Wasafirill>(First/Business/Economy) | Itakapoanza kazi |
---|---|---|---|---|
Airbus A300-600RF | 3 | 0 | Cargo | Inafanya kazi |
Airbus A319-100LR | 2 | 0 | 110 (8/0/102) | Inafanya kazi |
Airbus A319-100CJ | 1 | 0 | 36 (16/20/0) | Inafanya kazi |
Airbus A320-200 | 13 | 18 | 144 (12/0/132) | Inafanya kazi |
Airbus A321-200 | 8 | 4 | 177 (0/12/165) 196 (0/0/196) |
Inafanya kazi |
Airbus A330-200 | 16 | 0 | 228 (12/24/192) 232 (8/24/200) 260 (0/24/236) 272 (0/24/248) |
Inafanya kazi |
Airbus A330-300 | 13 | 0 | 259 (12/24/223) 305 (0/30/275) |
Inafanya kazi |
Airbus A340-600 | 4 | 0 | 266 (8/42/216) 306 (8/42/256) |
Inafanya kazi |
Airbus A350-800 | 0 | 20 | TBD | mwaka wa 2014 |
Airbus A350-900 | 0 | 40 | TBD | mwaka wa 2014 |
Airbus A350-1000 | 0 | 20 | TBD | mwaka wa 2015 |
Airbus A380-800 | 0 | 5 | TBD | mwaka wa 2012 |
Boeing 777-200LR | 5 | 3 | 259 (0/42/217) | Inafanya kazi |
Boeing 777-300ER | 8 | 22 | 335 (0/42/293) | Inafanya kazi |
Boeing 777F | 0 | 3 | Cargo | mwaka wa 2010 |
Boeing 787-8 | 0 | 30 | TBD | mwaka wa 2011 |
Bombardier Challenger 300 | 1 | 0 | 7 (7/0/0) | Inafanya kazi |
Bombardier Challenger 600 | 2 | 0 | 11 (11/0/0) | Inafanya kazi |
Jumla | 76 | 167 |
Ndani ya ndege
[hariri | hariri chanzo]Ndege karibu zote zina video kwenye kila kiti. Qatar Airways imeanzisha viti vinavyogeuka kuwa vitanda kwenye Business Class kwenye ndege ya aina za Boeing 777-300ER na Boeing 777-200LR.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-07-30. Iliwekwa mnamo 2010-01-21.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-21. Iliwekwa mnamo 2010-01-21.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-02-09. Iliwekwa mnamo 2010-01-21.
- ↑ Qatar Airways Fleet - Official Website