Pearl S. Buck
Mandhari
Pearl Sydenstricker Buck | |
Amezaliwa | 26 Juni 1892 Virginia, Marekani |
---|---|
Amekufa | 6 Machi 1973 Vermont, Marekani |
Nchi | Marekani |
Kazi yake | Mwandishi, Mwalimu |
Ndoa | John Lossing Buck (1917–1935) Richard Walsh (1935–1960) |
Pearl Buck (26 Juni 1892 – 6 Machi 1973) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Jina lake la kuzaliwa ni Pearl Comfort Sydenstricker; Buck ni jina la mume wake. Lakini aliandika chini ya jina la John Sedges. Anajulikana hasa kwa riwaya zake juu ya maisha katika nchi ya Uchina ambapo alilelewa akiwa mtoto wa wamisionari. Mwaka wa 1932 alituzwa Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Good Earth. Mwaka wa 1938 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pearl S. Buck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |