Papa Leo XIII
Mandhari
Papa Leo XIII (2 Machi 1810 – 20 Julai 1903) alikuwa Papa kuanzia tarehe 20 Februari/3 Machi 1878 hadi kifo chake[1]. Alitokea Carpineto Romano, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Vincenzo Gioacchino Raffaele Luigi Pecci.
Alimfuata Papa Pius IX (1846-78) akafuatwa na Papa Pius X.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Leo XIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |