Martti Ahtisaari
Mandhari
Martti Oiva Kalevi Ahtisaari (23 Juni 1937 - 16 Oktoba 2023[1]) alikuwa Rais wa zamani (1994–2000) wa Ufini, anayefahamika zaidi kama Mwanadiplomasia na msuluhishi wa Umoja wa Mataifa. Mwaka wa 2008 amepata Tuzo ya Nobel ya Amani, kwa kazi yake ya kuleta amani ya kimataifa.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Kauranen, Anne (2023-10-16), "Finnish Nobel Peace laureate and former president Ahtisaari dies at 86", Reuters (kwa Kiingereza), iliwekwa mnamo 2023-10-16
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
- Martti Ahtisaari's homepage Archived 7 Oktoba 2013 at the Wayback Machine.
- Martti Ahtisaari's Project Syndicate op/eds
- Martti Ahtisaari wins 2008 Nobel Peace Prize Archived 27 Novemba 2010 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Martti Ahtisaari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Martti Ahtisaari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |