Nenda kwa yaliyomo

Manjano

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Manjano
Mimea ya manjano
Mimea ya manjano
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja)
(bila tabaka): Commelinids (Mimea kama jaja)
Oda: Zingiberales (Mimea kama mtangawizi)
Familia: Zingiberaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mtangawizi)
Jenasi: Curcuma
L.
Spishi: C. longa
L.

Manjano ni unga wa mizizi ya mmea kutoka Asia ya Kusini Mashariki unaoitwa Curcuma longa kwa jina la kisayansi.

Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Manjano kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.