Labuan
Mandhari
Labuan ni kisiwa kikuu cha funguvisiwa lenye jina hilohilo ambalo tangu mwaka 1984 limekuwa eneo la shirikisho katika nchi ya Malaysia.
Inapatikana kaskazini kwa kisiwa cha Borneo ambacho ni cha tatu duniani kwa ukubwa.
Wakazi ni 86,908 (2010); kati yao 76% ni Waislamu, 12.4% ni Wakristo, 9% Wabuddha n.k.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Labuan Story: Memoirs of a Small Island near the Coast of North Borneo (1958) Maxwell Hall Jesselton, North Borneo: Chung Nam.
- The history of Labuan Island (Victoria Island) (1996) Stephen R. Evans, Abdul Rahman Zainal and Rod Wong Khet Ngee. Singapore: Calendar Print
- Chai Foh Chin (2007) Early Picture Postcards of North Borneo and Labuan
- Stephen R. Evans, Abdul Rahman Zainal and Rod Wong Khet Ngee (Reprint 2007) The History of Labuan (Victoria Island)
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Angalia mengine kuhusu Labuan kwenye miradi mingine ya Wikimedia: | |
picha na media kutoka Commons | |
matini za ushuhuda na vyanzo kutoka Wikisource | |
vitabu kutoka Wikibooks |
- Labuan - Travel information
- Labuan Corporation
- Labuan Tourism Archived 27 Agosti 2017 at the Wayback Machine.
- Labuan International Business and Financial Centre, Malaysia
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Labuan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |