Kidogri
Mandhari
Kidogri ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wadogri. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kidogri imehesabiwa kuwa watu 2,280,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidogri iko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kidogri kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kidogri Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kidogri katika Glottolog
- lugha ya Kidogri kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kidogri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |