Nenda kwa yaliyomo

Kichrau

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kichrau ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Vietnam inayozungumzwa na Wachrau. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kichrau imehesabiwa kuwa watu 7000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichrau iko katika kundi la Kibahnariki.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichrau kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.