Nenda kwa yaliyomo

Keith Abbis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Keith Douglas Abbis (alizaliwa 26 Aprili 1932) ni raia wa Uingereza mchezaji wa kandanda la kulipwa katika klabu ya Brighton &  Hove Albion inayo shiriki ligi kuu nchini Uingereza,[1] alicheza kwenye nafasi ya ushambuliaji. Alifunga magoli matatu akiwa na Brighton, yakiweko yale kwenye ushindi wa 3-2 dhidi ya Middlesbrough mnamo mwezi wa 4 mwaka 1960.[2]

Pia alivitumikia vilabu ambavyo sio vya ligi kuu kama Hitchin Town, Chelmsford City, Romford na Brentwood Town.[3]

  1. www.neilbrown.newcastlefans.com http://www.neilbrown.newcastlefans.com/player10/keithabbis.html. Iliwekwa mnamo 2024-07-29. {{cite web}}: Missing or empty |title= (help)
  2. www.brightonandhovealbion.com https://www.brightonandhovealbion.com/news/2015/april/albion-and-middlesbrough-five-a-side-team/. Iliwekwa mnamo 2024-07-29. {{cite web}}: Missing or empty |title= (help)
  3. http://www.enfa.co.uk/playersearch.php
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Keith Abbis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.