Keanu Reeves
Mandhari
Keanu Charles Reeves (amezaliwa Beirut, Lebanon, 2 Septemba 1964) ni mwigizaji wa filamu na tamhiliya kutoka nchini Kanada.
Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Neo kutoka katika mfululizo wa filamu za Matrix. Pia anajulikana kwa kucheza kama Ted kutoka katika filamu ya 'Bill & Ted's Excellent Adventure' na 'Bill and Ted's Bogus Journey.
Anafahamika tena kama Scott Favor katika mchezo wa kuigiza uitwao 'My Own Private Idaho' akiwa na River Phoenix, Kevin Lomax katika filamu ya kichawi iitwayo The Devil's Advocate, Buddha katika filamu iitwayo Little Buddha, Na pia nyota katika filamu ya Speed na Constantine.
Filamu
[hariri | hariri chanzo]Filamu za kawaida
[hariri | hariri chanzo]Televisheni
[hariri | hariri chanzo]- Night Heat - sehemu ya Crossfire (1985) kacheza kama Mugge
- Night Heat - sehemu ya Necessary Force (1985) kacheza kama Thug #1
- Letting Go (1985) kacheza kama Stereo Teen #1
- Brotherhood of Justice (1986) kacheza kama Derek
- Act of Vengeance (1986) kacheza kama Buddy Martin
- Young Again (1986) kacheza kama Michael Riley, Age 17 (credited kacheza kama K.C. Reeves)
- Under the Influence (1986) kacheza kama Eddie Talbot
- Babes in Toyland (1986) kacheza kama Jack-Be-Nimble
- Trying Times - sehemu ya Moving Day (1987) kacheza kama Joey
- Life Under Water (1989) - Kip
- The Tracey Ullman Show - sehemu ya Two Lost Souls (1989) kacheza kama Jesse Walker
- Bill & Ted's Excellent Adventures (1990-93) kacheza kama Ted (voice only) (kacheza kamao ,1990-91)
- |Action 1999 - Pilot (1999) "Keanu Reeves"
- Statler and Waldorf: From the Balcony sehemu ya 3 (2005) kacheza kama Keanu