Kaunti ya Narok
Mandhari
Kaunti ya Narok ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.
Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 1,157,873 katika eneo la km2 17,950.3, msongamano ukiwa hivyo wa watu 65 kwa kilometa mraba[1].
Makao makuu yako Narok.
Mara Triangle (ambayo ni sehemu ya hifadhi ya Masai Mara) imo katika eneo la Trans-Mara.
Utawala
[hariri | hariri chanzo]Kaunti ya Narok imegawanywa katika maeneo bunge yafuatayo[2]:
Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [3]
[hariri | hariri chanzo]- Narok East 115,323
- Narok North 251,862
- Narok South 238,472
- Narok West 195,287
- Trans Mara East 111,183
- Trans Mara West 245,714
- Mau Forest 32
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
- ↑ http://countytrak.infotrakresearch.com/Narok-county/
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kaunti ya Narok kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |