Nenda kwa yaliyomo

I Got a Girl

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“I Got a Girl”
“I Got a Girl” cover
Single ya Lou Bega
Imetolewa 30 Agosti 1999
Muundo CD single
Aina Pop ya Kilatini
Hip Hop
Urefu 3:04 (toleo la redio)
5:02 (iliyochanganywa kabisa)
Studio Lautstark / BMG / RCA Records
Mtunzi Lou Bega
Zippy Davids
Frank Lio
Donald Fact
Mtayarishaji Goar B
Frank Lio
Donald Fact
Mwenendo wa single za Lou Bega
"Mambo No. 5"
(1999)
"I Got a Girl"
(1999)
"Tricky, Tricky"
(1999)

"I Got a Girl" ni wimbo wa mwanamuziki wa Kijerumani Lou Bega. Huu ni wimbo wa pili baada ya ule wimbo mashuhuri wa "Mambo No. 5". Ndani ya wimbo, Bega analezea kwamba "ana mademu dunia nzima."

Chati zake

[hariri | hariri chanzo]
Chati (1999) Nafasi
iliyoshika
Australia 31
Austria 19
Belgium (Flanders) 9
Belgium (Wallonia) 13
Finland 2
France 5
Germany 19
Ireland 23
Netherlands 31
New Zealand 48
Sweden 12
Switzerland 20
United Kingdom 55

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]
Maxi single
  1. "I Got a Girl" (Toleo la Redio) - 3:04
  2. "I Got a Girl" (Toleo Halisi la Redio) - 3:21
  3. "I Got a Girl" (Iliyochanganywa Kabisa) - 5:02
  4. "I Got a Girl" (Club Mix) - 5:31
  5. "I Got a Girl" (Toleo la Ala Tupu) - 3:04