Nenda kwa yaliyomo

Hikueru

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kisiwa cha Hikueru

Hikueru ni kisiwa cha Polinesia ya Kifaransa ndani ya funguvisiwa ya Tuamotu. Kiko upande wa kusini-mashariki wa kisiwa cha Marutea. Eneo la kisiwa ni 8 km². Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Tupapati. Mwaka wa 2012, idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 150. Watu wakaao kisiwani kwa Hikueru huongea Kituamotu na Kitahiti.

Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.