Gongo
Mandhari
Gongo ni aina ya pombe ambayo hutengenezwa na kuuzwa kiharamu kwa sababu kuna sheria zilizoikataza kutokana na madhara yake makubwa kwa wanywaji na jamii kwa jumla.
Pombe hiyo hunyweka sana nchini Kenya (ambayo huiita chang'aa) na pia Tanzania.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gongo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |