Bwana Mwengo
Mandhari
Bwana Mwengo | |
---|---|
Jina la kuzaliwa | Bwana Mwengo |
Alizaliwa | Karne ya 17 |
Alikufa | Karne ya 18 |
Nchi | Kenya |
Kazi yake | Mwandishi |
Bwana Mwengo (Siu, karne ya 17 - Pate, karne ya 18) alikuwa mshairi, mwandishi katika usultani wa Pate. Aliandika ushairi na hadithi zake kwa Kiswahili.
Alijulikana kwa kuandika Chuo cha Utendi na Utendi wa Tambuka.
Maisha yake
[hariri | hariri chanzo]Aliandika vitabu vyake kwa sultani wa Pate. Jina lake linaonyesha alikuwa Mwafrika, tena wa Kibantu.
Vitabu vyake
[hariri | hariri chanzo]- Chuo cha Utendi
- Utendi wa Tambuka
Mistari ya Utendi wa Tambuka
[hariri | hariri chanzo]Farasi wakwe usoni
Ali kiwaa yakini
Kiasikye fahamuni
Dirihamu kufania
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Knappert, J. (1982). Four Centuries of Swahili Verse.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bwana Mwengo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |