Nenda kwa yaliyomo

Butterflies (wimbo wa Michael Jackson)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Butterflies”
“Butterflies” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Invincible
Imetolewa 8 Novemba 2001 U.S. Billboard Hot 100
Imerekodiwa 2001
Aina R&B
Urefu 4:40 (toleo la aalbam)
3:44 (Master Mix Feat. Eve)
Studio Epic Records
Mtunzi Marsha Ambrosius
Andre Harris
Mtayarishaji Michael Jackson na Andre Harris
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Cry"
(2001)
"Butterflies"
(2001)
"One More Chance"
(2003)

"Butterflies" ni wimbo wa msanii wa rekodi za muziki Michael Jackson. Wimbo umetungwa na Marsha Ambrosius na mtayarishaji Andre Harris. Jackson alisema kwamba huu ndiyo wimbo wake kipenzi kutoka katika albamu ya Invincible.[1] Wimbo hasa ulitungwa kunako mwaka wa 1997 wakati huo Ambrosius yupo shule. Toleo halisi la wimbo huu linaweza kupatikana kwenye toleo la UK la Floetry, Floetic na kuonekana tena toleo lilelile kwenye albamu ya Jackson ya mwaka wa 2001.

Orodha ya nyimbo

[hariri | hariri chanzo]

CD Promo ESK 54863

  1. Butterflies (4:40)

12" Promo EAS 56719

  1. Master Mix (Feat. Eve)
  2. Michael A Cappella
  3. Eve A Cappella
  4. Instrumental
Chati (2001) Nafasi
iliyoshika
U.S. Billboard Hot 100 14
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs 2
  1. Butterflies Songfacts. Songfacts.com

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Butterflies (wimbo wa Michael Jackson) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.