Nenda kwa yaliyomo

Benki ya KCB Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Benki ya KCB Tanzania, ni benki ya biashara nchini Tanzania. Ni moja kati ya benki ishirini na tisa (29) zilizopewa leseni na Benki Kuu ya Tanzania, mdhibiti wa benki zote nchini..[1] Benki hiyo ni mwanachama wa Kikundi cha Benki ya Biashara ya Kenya (KCB Group), yenye makao yake makuu jijini Nairobi, Kenya, na matawi katika nchi jirani za Afrika mashariki: Rwanda, Sudan Kusini, Tanzania na Uganda.[2]

  1. "Bank of Tanzania: Directory of Banks Operating in Tanzania". bot.go.tz. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-14. Iliwekwa mnamo 2017-09-03. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  2. "KCB Group Limited – Welcome". www.kcbbankgroup.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-06-22. Iliwekwa mnamo 2017-09-03. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Benki ya KCB Tanzania kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.