Bella Abzug
Mandhari
Bella Savitzky Abzug (alijulikana kwa jina la utani kama "Battling Bella"; Julai 24, 1920 – 31 Machi 1998) alikuwa mbunge wa Baraza la Wawakilishi la Marekani, mwanaharakati na kiongozi katika ufeministi.
[hariri | hariri chanzo]Mnamo mwaka 1971, Abzug alijiunga na wanaharakati wengine wa masuala ya wanawake kama vile Gloria Steinem, Shirley Chisholm, na Betty Friedan na kuanzisha National Women's Political Caucus.[1] Alijulikana kama kiongozi katika kile kilichokuja kujulikana kama eko-feminismi.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bella Abzug". HISTORY. A&E Television Networks. Iliwekwa mnamo Februari 12, 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Jaffe-Gill, Ellen (1998). "Bella Abzug, No One Could Have Stopped Me". The Jewish Woman's Book of Wisdom. Citadel Press. ku. 74. ISBN 1559724803.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bella Abzug kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |