20 Mei
Mandhari
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 20 Mei ni siku ya 140 ya mwaka (ya 141 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 225
Matukio
[hariri | hariri chanzo]Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1822 - Frederic Passy, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1901
- 1860 - Eduard Buchner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1907
- 1882 - Sigrid Undset, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1928
- 1890 - Allan Nevins, mwandishi na mwanahistoria kutoka Marekani
- 1918 - Edward Lewis, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1995
- 1981 - Amina Chifupa, mwanasiasa wa Tanzania
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 1277 - Papa Yohane XXI
- 1444 - Mtakatifu Bernardino wa Siena, padri wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1506 - Kristoforo Kolumbus, mpelelezi Mwitalia aliyewahi kufika Amerika
- 1912 - Mtakatifu Arkanjelo Tadini, padri
- 1940 - Verner von Heidenstam, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1916
- 1947 - Philipp Lenard, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1905
- 1960 - Audrey Wurdemann, mshairi kutoka Marekani
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Bernardino wa Siena, Lidia wa Thiatira, Aurea wa Ostia, Baudeli, Talalei, Lusiferi wa Cagliari, Hilari wa Toulouse, Austregesili, Anastasi wa Brescia, Theodori wa Pavia, Protasi Chong Kukbo, Arkanjelo Tadini n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 20 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |