2 Mei
tarehe
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 2 Mei ni siku ya 122 ya mwaka (ya 123 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 243.
Matukio
hariri- 1687 - Reigen, Mfalme Mkuu wa Japani, anajiuzulu kwa ajili ya mwana wake Higashiyama
Waliozaliwa
hariri- 1803 - Albert Küchler, mchoraji kutoka Denmark
- 1991 - Jung Jin-woon, mwanamuziki kutoka Korea Kusini
Waliofariki
hariri- 373 - Mtakatifu Atanasi wa Aleksandria, patriarki Mkatoliki na mwalimu wa Kanisa nchini Misri
- 1519 - Leonardo da Vinci, mchoraji na mwanasayansi kutoka Italia
- 1963 - Van Wyck Brooks, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1979 - Giulio Natta, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1963
- 1997 - John Eccles, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1963
- 2011 - Osama bin Laden, mwanzilishi na kiongozi wa kundi la kigaidi la Al Qaida
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Atanasi wa Aleksandria, Espero, Zoe na wanao, Felisi wa Sevilia, Vendemiale, Lonjino wa Pamaria, Waldebati, Wiborada, Antonino wa Firenze, Yosefu Nguyen Van Luu, Yosefu Maria Rubio n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 2 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |