,

Tunajua Sisi Ni Nani Quotes

Quotes tagged as "tunajua-sisi-ni-nani" Showing 1-2 of 2
Enock Maregesi
“Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa mtetezi wa uafrika. Kwa sababu yake tunajua sisi ni nani.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Sisi ni watoto wa Nelson Mandela; sisi ni watoto wa Kwame Nkrumah; sisi ni watoto wa Haile Selassie; sisi ni watoto wa Samora Machel; sisi ni watoto wa Robert Mugabe; sisi ni watoto wa Patrice Lumumba; sisi ni watoto wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Tunajua sisi ni nani.”
Enock Maregesi