Bursa
Mandhari
Bursa (kihistoria pia una julikana kama Prussa, Kigiriki: Προύσα, halafu baadaye waliita Brusa) ni mji ulioko mjini kaskazini-magharibi mwa nchi ya Uturuki na ndiyo mji mkuu wa Mkoa wa Bursa.
Mji una wakazi wapatao 1,562,828 (2007). Huu ni mji wa nne kwa ukubwa katika Uturuki, ukiwa pamoja na kuwa kama ndiyo mji wenye ukuwaji mkubwa wa viwanda na kilimo katika nchi.
Mji wa Bursa upo mjini kaskazini-magharibi katika mapolomoko ya Mlima Uludağ Kusini mwa Mkoa wa Marmara. Mji umepakana kabisa na Bahari ya Marmara na Yalova katika kaskazini, Kocaeli na Sakarya katika kaskazini-mashariki, Bilecik katika mashariki na Kütahya na Balıkesir ipo kunako kusini.
Viungo vya nje
- Uludağ University
- Turkey Live Bursa Archived 4 Desemba 2008 at the Wayback Machine.
- Bursa City Sport Portal
- All About Turkey
- Bursa Metropolitan Municipality Archived 29 Machi 2008 at the Wayback Machine.
- Bursa Weather Forecast Information Archived 30 Oktoba 2008 at the Wayback Machine.
- (Kituruki) Bursa - Orhangazi Business Guide Archived 23 Julai 2009 at the Wayback Machine.
- Pictures of Bursa
- Turkey Handbook Archived 3 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- (Kituruki) Golyaka Village, Bursa Archived 16 Juni 2021 at the Wayback Machine.
- (Kituruki) city sport portal, Bursa
- (Kituruki) city catamaran manufacturer, Bursa
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bursa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |