Nenda kwa yaliyomo

Mto Ura (Tharaka-Nithi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 14:06, 7 Septemba 2021 na Riccardo Riccioni (majadiliano | michango) (Riccardo Riccioni alihamisha ukurasa wa Mto Ura hadi Mto Ura (Tharaka-Nithi): kutofautisha mito)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Mto Ura (Tharaka-Nithi) unapatikana katika kaunti ya Tharaka-Nithi, katikati ya Kenya.

Maji yake yanatokana na mlima Kenya na kuishia katika mto Tana, ambao ndio mrefu kuliko yote nchini, na hatimaye katika Bahari Hindi.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]