Papa Urban VII

(Elekezwa kutoka Papa Urbano VII)

Papa Urban VII (4 Agosti 152127 Septemba 1590) alikuwa Papa kwa siku chache kuanzia tarehe 15 Septemba 1590 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia[2].

Papa Urbano VII.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giambattista Castagna.

Alimfuata Papa Sixtus V akafuatwa na Papa Gregori XIV.

Alipatwa na malaria na kufariki kabla hajavishwa taji la Kipapa.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Urban VII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.