Mto Ligi

(Elekezwa kutoka Mto Liki)

Mto Ligi (au Liki) unapatikana katikati ya Kenya.

Daraja juu ya mto Ligi

Ni tawimto la mto Ewaso Ng'iro, tawimto la mto Lagh Dera, ambao tena ni tawimto la mto Juba ambao unaishia katika Bahari ya Hindi nchini Somalia.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri