Mkoa wa Artvin
Artvin ni jina la kutaja mkoa uliopo nchini Uturuki, katika pwani ya Bahari Nyeusi kwa upande wa kaskazini-mashariki mwa kona ya nchi, kwenye mpaka wa nchi ya Georgia.
Mkoa wa Artvin | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Artvin nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Bahari Nyeusi |
Eneo: | 7436 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 191,934 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 08 |
Kodi ya eneo: | 0466 |
Tovuti ya Gavana | http://www.artvin.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/artvin |
Mji mkuu wake ni Artvin.
Wilaya za mkoani hapa
haririMkoa wa Artvin umegawanyika katika wilaya 8 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
hariri- (Kituruki) the provincial governorate
- (Kiingereza) Artvin Weather Forecast Information Archived 9 Oktoba 2006 at the Wayback Machine.
- (Kiingereza)Çoruh River Valley and future of artvin city Archived 12 Aprili 2008 at the Wayback Machine.
- (Kiingereza) Armenian History and Presence in Artvin
- (Kituruki) Artvin has a wikipedia all of its own Archived 7 Aprili 2007 at the Wayback Machine. including...
- photos of Artvin Archived 25 Aprili 2007 at the Wayback Machine.
- more photos Archived 12 Oktoba 2007 at the Wayback Machine.
- World Wildlife Fund report on the area Archived 17 Machi 2007 at the Wayback Machine.
- (Kituruki) photos and villages of Artvin Archived 6 Julai 2011 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Artvin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |