Jet Li

Msanii wa kijeshi wa China na muigizaji

Li Lianjie (amezaliwa tar. 26 Aprili 1963) ni mshindi wa Tuzo za Filamu za Hong Kong, akiwa kama mwigizaji bora filamu wa Kichina. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Jet Li. Jet Li ni mtaalam wa Kung Fu na Wushu. Baada ya miaka mitatu ya mafunzo ya Wushu, Jet Li alipata ushindi wake wa kwanza katika mashindano ya kitaifa ya vikosi vya Wushu kwa mji wa Beijing.

Jet Li
Jet Li mwaka 2006
Jet Li mwaka 2006
Jina la kuzaliwa Lǐ Liánjié
Alizaliwa 26 Aprili 1963
Beijing
China
Jina lingine Jet Li
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1982 - hadi leo
Ndoa Huang Qiuyan (1987-1990)

Nina Li Chi (1997-)

Tovuti Rasmi http://www.jetli.com

Akiwa na umri wa miaka 17, Jet Li aliachana na masuala ya Uwushu na badala yake akaja kuwa mwigizaji wa filamu na akabahatika kutoa filamu yake kwanza mnamo mwaka wa 1982 na filamu ilikwenda kwa jina la Shaolin Temple.

Badala ya hapo akawa anaendelea zaidi na maswala ya filamu na hata kuweza kujulikana katika medani hiyo ya uigizaji wa filamu katika China. Akaja kujipatia umaarufu zaidi pale alipocheza katika mfululizo wa filamu za Once Upon a Time in China, ambapo humo alikuwa akicheza kama shujaa wa kiasili - Wong Fei Hung.

Kwa upande wa Marekani, Jet Li alianza kucheza kama adui katika filamu ya Lethal Weapon 4 kunako mwaka wa 1998, na kwa upande wa filamu alizocheza Marekani kwa mara ya kwanza na kuwa kama nyota kiongozi ilikuwa katika Romeo Must Die ya mwaka wa 2000.

Badala ya hapo akawa anashiriki katika mafilamu mengimengi ya ya Hollywood, na hivi karibuni ametoa filamu yake mpya akiwa pamoja na Jackie Chan, na filamu inaitwa The Forbidden Kingdom (Kigezo:2008).

Filamu alizocheza

hariri
Mwaka Jina la filamu Jina alilotumia Maelezo
1982 Shaolin Temple
(少林寺 Shao Lin Si)
Jueh Yuan (覺遠)
1983 Shaolin Temple 2: Kids from Shaolin
(少林小子 Shao Lin Xiao Zi)
San Lung
1986 Born to Defence Jet
Shaolin Temple 3: Martial Arts of Shaolin
(南北少林 Nan Bei Shao Lin)
Zhi Ming
1988 Dragon Fight
(龍在天涯 Long Zai Tian Ya)
Jimmy Lee
1989 The Master Jet
1991 Once Upon a Time in China
(黃飛鴻 Wong Fei Hung)
Wong Fei Hung
Swordsman II
(笑傲江湖之東方不敗 Xiao Ao Jiang Hu Zhi Dong Fan Bu Bai)
Ling Hu Cong
1992 Once Upon a Time in China II
(黃飛鴻之二男兒當自强 Wong Fei Hung 2: Nan er dang zi qiang)
Wong Fei Hung
1993 in film|1993]] Tai Chi Master
(太極張三豐 Tai Ji Zhang San Feng)
Junbao aka Twin Warriors (USA)
Fong Sai-yuk
(方世玉 Fong Sai Yuk)
Fong Sai Yuk aka The Legend
Fong Sai Yuk II Fong Sai Yuk aka The Legend 2
The Evil Cult
(倚天屠龍記之魔教教主 Yi tian tu long ji zhi mo jiao jiao zhu)
Zhang Wu Ji aka The Kung Fu Cult Master
aka
Lord Of The Wu Tang
aka Kung Fu Master
Last Hero in China
(黃飛鴻之鐵雞斗蜈蚣 Wong Fei-Hung zhi tie ji dou wu gong)
Wong Fei Hung aka Claws of Steel
aka Deadly China Hero
Once Upon a Time in China III Wong Fei Hung
1994 The Bodyguard From Beijing Allan Hui Ching-yeung/John Chang aka The Defender
aka Zhong Nan Hai bao biao
Fist of Legend
(精武英雄 Jing Wu Ying Xiong)
Chen Zhen
Legend of the Red Dragon
(洪熙官之少林五祖 Hong Xi Guan Zhih Shaolin Wu Zu)
Hung Hei-Kwun aka The New Legend of Shaolin
1995 High Risk
(鼠胆龍威)
Kit Li aka Meltdown
My Father is a Hero
(給爸爸的信 Gei Baba De Sing)
Kung Wei aka The Enforcer
aka Letter to Daddy
1996 in film|1996]] Black Mask
(黑俠 Hei Shia)
Michael/Simon/Tsui Chik/Black Mask released 1999 in US
Dr. Wai in "The Scripture with No Words"
(冒險王 Mao Xian Wong)
Chow Si-Kit aka Adventure King
aka The Scripture with No Words
1997 Once Upon a Time in China VI
(黃飛鴻之西域雄獅)
Wong Fei-Hung aka Once Upon a Time in China and America
1998 Lethal Weapon 4 Wah Sing Ku
Hitman Fu aka The Hitman
aka The Contract Killer
2000 Romeo Must Die Han Sing
2001 The One Gabe Law/Gabriel Yulaw/Lawless
Kiss of the Dragon Liu Jian
2002 Hero
(英雄 Ying Xiong)
Nameless aka Hero released 2004 in US
2003 in film|2003]] Cradle 2 the Grave Su
2004 Jet Li: Rise to Honor (Playstation 2 video game) Kit Yun (voice, motion-capture actor) released 2004 in US
[[2005 in film|2005 Unleashed Danny aka Danny The Dog
2006 Fearless
(霍元甲 Huo Yuan Jia)
Huo Yuanjia aka Legend of a Fighter
2007 in film|2007]] The Warlords
(投名狀 Tou Ming Zhuang)
Pang Qing Yun
War Rogue aka "Rogue Assassin" or "Rogue"
2008 in film|2008]] The Forbidden Kingdom
(功夫之王 Gong Fu Zhi Wang)
Sun Wukong the Monkey King/Silent Monk
The Mummy: Tomb of the Dragon Emperor Emperor Qin Shi Huang
[[2010 in film|2010 The Forbidden Kingdom 2 Sun Wukong

Viungo vya nje

hariri
 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu: