Fupanyonga
Fupanyonga ni mfupa unaofanya umbo la duara katika eneo la mwili lililo chini ya kiuno na juu ya miguu: ndipo mifupa ya miguu na ya uti wa mgongo inapoungana.
Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fupanyonga kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |