Fainali (kutoka Kiingereza: final, yaani ya mwisho) ni mechi inayocheza mwishoni kabisa wa mashindano kwa kupambanisha watu wawili au timu mbili bora ili kumpata mshindi wa kwanza.

Rahman Amouzad na John Diakomihalis katika fainali ya mwaka 2022 ya World Freestyle Wrestling Championship huko Belgrad, Serbia.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Fainali kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.