1990
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1960 |
Miaka ya 1970 |
Miaka ya 1980 |
Miaka ya 1990
| Miaka ya 2000
| Miaka ya 2010
◄◄ |
◄ |
1986 |
1987 |
1988 |
1989 |
1990
| 1991
| 1992
| 1993
| 1994
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1990 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
hariri- 2 Februari - Rais F. W. de Klerk wa Afrika Kusini anatangaza ya kuwa ANC si marufuku tena.
- 11 Februari - Nelson Mandela anaachishwa gerezani baada ya kukaa miaka 27 jela.
- 23 Agosti - Nchi ya Armenia inatangaza uhuru wake kutoka Umoja wa Kisovyeti.
Waliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 12 Januari - Andrey Marcel Ferreira Countinho, mchezaji wa mpira kutoka Brazil
- 3 Februari - Sean Kingston, mwanamuziki kutoka Jamaika
- 10 Februari - Sooyoung, mwigizaji wa filamu na mwanamuziki kutoka Korea Kusini
- 14 Machi - Zakaria Kibona, mchezaji wa mpira kutoka Tanzania
- 5 Aprili - Rhianna Ryan, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 15 Aprili - Emma Watson
- 23 Julai - Gracie Carvalho, mwanamitindo kutoka Brazil
- 12 Agosti - Mario Balotelli, mchezaji mpira kutoka Italia
- 16 Agosti - Deo Munishi, mcheza mpira wa Tanzania
- 28 Septemba - Kirsten Prout, mwigizaji wa filamu kutoka Kanada
- 29 Oktoba - Amarna Miller
- 28 Desemba - David Archuleta, mwanamuziki kutoka Marekani
bila tarehe
- April Jackson, mwanamitindo kutoka Jamaika
Waliofariki
hariri- 6 Januari - Pavel Cherenkov, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958
- 27 Februari - Josephine Johnson, mwandishi kutoka Marekani
- 22 Juni - Ilya Frank, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958
- 31 Julai - Fernando Sancho, mwigizaji filamu kutoka Hispania
- 30 Septemba - Patrick White, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1973
- 16 Oktoba - Art Blakey, mwanamuziki kutoka Marekani
- 22 Oktoba - Louis Althusser, mwanafalsafa wa Ufaransa
- 17 Novemba - Robert Hofstadter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1961
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu: