15 Juni
tarehe
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 15 Juni ni siku ya 166 ya mwaka (ya 167 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 199.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1843 - Edvard Grieg, mtunzi wa muziki kutoka Norwei
- 1856 - Edward Channing, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1915 - Thomas Weller, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1954
- 1917 - John Fenn, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2002
- 1933 - Geoffrey William Griffin, mkurugenzi mwanzilishi wa Shule ya Upili ya Wavulana ya Starehe, Kenya
- 1949 - Jim Varney, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1969 - Ice Cube (O'Shea Jackson), mwimbaji na mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 1979 - Lady Jay Dee, mwanamuziki kutoka Tanzania
Waliofariki
hariri- 1073 - Go-Sanjo, mfalme mkuu wa Japani (1068-1073)
- 1849 - James Polk, Rais wa Marekani (1845-1849)
- 1971 - Wendell Stanley, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1946
- 1996 - Ella Fitzgerald, mwimbaji wa kike wa Jazz kutoka Marekani
- 2008 - Stan Winston, mwongozaji wa filamu kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu nabii Amosi, Esiki wa Silistra, Vito mfiadini, Abrahamu wa Clermont, Landelini, Lotari wa Seez, Benilde wa Cordoba, Bernardo wa Menthon, Isfridi wa Ratzeburg, Jermana wa Pibrac, Barbara Cui Lianzhi n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 15 Juni kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |