,

Mwalimu Quotes

Quotes tagged as "mwalimu" Showing 1-7 of 7
Enock Maregesi
“Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa baba kwa familia yake. Kwa Tanzania alikuwa mlezi; wa ndoto ya haki, amani, uzalendo, ujamaa, na uhuru.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa mtetezi wa uafrika. Kwa sababu yake tunajua sisi ni nani.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Huwezi kuwa na mwalimu mzuri bila daktari mzuri, na huwezi kuwa na daktari mzuri bila mwalimu mzuri.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Mwalimu mzuri ni wa muhimu zaidi kuliko daktari mbaya, na daktari mzuri ni wa muhimu zaidi kuliko mwalimu mbaya.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Kati ya mwalimu na daktari mwalimu ni zaidi, kwa sababu ualimu unatoka kwa Mungu, ambaye ndiye Mwalimu wa kwanza.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Mwalimu wa udaktari alipata maarifa ya udaktari kutoka kwa daktari, aliyepata maarifa ya udaktari kutoka kwa Mungu.”
Enock Maregesi

Enock Maregesi
“Jifunze kutoka kwa mwalimu, jifunze zaidi kutoka kwa wenzako.”
Enock Maregesi